MABADILIKO YA TAREHE YA KURIPOTI CHUONI

Mkuu wa chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki Tabora, anapenda kuwatangazia wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza na wanaoendelea kuwa kila mwanafunzi anatakiwa kuripoti chuoni tarehe 3/11/2025 na sio zaidi ya tarehe 10/11/2025. Masomo yataanza rasmi tarehe 10/11/2025.