TANGAZO LA UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027

Uongozi wa Chuo unapenda kuwataarifu waombaji wote wa masomo, wazazi, walezi na umma kwa ujumla kuwa dirisha la udahili kwa mwaka wa masomo 2026/2027 limefunguliwa rasmi.Tunawahimiza waombaji kuwasilisha maombi yao mapema ili kuepuka usumbufu wa dakika za mwisho.