KUFUNGULIWA AWAMU YA PILI KWA DIRISHA LA MAOMBI YA NAFASI ZA MASOMO 2025/2026

Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki-Tabora anatangaza kufunguliwa awamu ya pili kwa dirisha la maombi ya nafasi masomo katika fani ya Ufugaji Nyuki kwa ngazi ya Astashahada na
Stashahada kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Dirisha la maombi litafungwa tarehe 19/10/2025