Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki-Tabora anatangaza nafasi za masomo katika fani ya Ufugaji Nyuki kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa mwaka wa masomo 2023/2024. Kwa maelezo zaidi pakua Tangazo la Nafasi za Masomo na Fomu ya Maombi.